Monday, October 29, 2012

Baadhi ya watoto wakiwa katika nyuso za furaha, hapa ni mkoani njombe kijiji cha lwangu, kama walivyo kutwa na mwana blog wetu.

Wednesday, October 24, 2012

TAZAMA MALENGO YAKE MACHONI MWAKE.

Kwa mtazamo sahihi, furaha yake inaongelea utaalamu alionao ndani ya kichwa chake je ni kweli atawezeshwa kutimiza malengo yake?

Tuesday, October 23, 2012

JE TUNAMUANGALIA MTOTO WA MWINDAJI?

Hawa ni watoto wa jamii ya wafugaji/wawindaji ambao ukiwatazama wanamatumaini ya siyo na mwanga

Monday, October 22, 2012

VINCENT KIHINDO TUMAINI JIPYA KWA WATOTO

Huyu pichani ki kijana aitwae Vincent Sixmund Kihindo ndio tumaini jipya la watoto wanaoishi kwenye mazigira magumu hapa Tanzania anachoomba kwa jamii ya Tanzania na Dunia kwa ujumla imuunge mkono kwa hali zote.dhamila yake ni kuona kila binadamu hasa mtoto anafurahia maisha.